Baridi/Njeve/Heehoo/Mbevoo

Kwenu mnaiita aje baridi.Si leo ni kama imeamua hakuna gonads zita work.Hadi nimevaa socks kwa nyumba something i rarely do.
Penye niko temps ziko 15 degrees centigrade.
Sema kwenu iko ngapi na vile baridi inaitwa na kikwenu/giikwanyuu

Gathaano.

Gatii

001,now iko 27°C ,itashuka to 24 around midnight

12 degrees…inaitwa kìmakia ihìï

Kaitit

Haicuo

Huku meru kwa slopes za Mt Kenya ni kama winter I believe it is below 10 degrees

Perfect weather ya beater na kaptula

Baridi kuja

piaho

18°C

température froide

Kijape