Baridi Leo

Kuamka leo ilikuwa 12 degrees hapa Nairobi. Noma sana

1 Like

Where Iam is 11 degrees celcius low

1 Like

SMH,during winter sisi upata minus -12 na hatusumbui…hio 12 degrees ni joto for sm of us,unatoka nje na vest

3 Likes

Nani amekuuliza enda upost Germanytalk.com

20 Likes

PANYA WEWE NANI AMEKUULIZA

4 Likes

Udhaifu wa akili. 12 C sio kitu. I wont complain mpaka ifike single digits.

1 Like

Nani amekuuliza? Enda kaoshe tunyanye meffi, uache kutusumbua.

Shephart si ukule hio panya, ama uikamue ikusde.

Munatusumbua na jua leo iko huku westy.

:D:D:D:D

1 Like

Na vile niko njiani kuelekea Nairobi na sijabeba koti. Ishakuwa tabu

2 Likes

MCHAWI JUMAKUMBAFF SI UJIROGE BARIDI IISHE

4 Likes

Nijiroge ama nijigange. Wacha kuchezea kiswahili. Kwanza hebu mtume @Akeelah aningoje Modern Coast na koti

5 Likes

heee! na vile i want to dump my gf today

3 Likes

:(:(:frowning:

Leta hekaya buda…amekufanyia nini?

Alafu @The.Black.Templar uwache mambo yakushtua watu ovyo. Niko Nairobi West na hakuna baridi

1 Like

Leo it was way too warm hadi nilienda cheki maneno. Video coming up soon. Still editing

1 Like

Asubuhi bana…Ilikuwa mingi sana

Ikuom kukuom!

1 Like

Kuna mtu nilimpita akicheki maneno, mida nilikuwa nimefika Nairobi. Alikuwa na mountain bike hiyo barabara ya south c inakuleta hadi Nairobi West shopping center. @Gio ni wewe ulikuwa unaenda kununuwa aged beef

1 Like