Wadau naeza pata wapi hizi vitu na bei ya jioni, nataka 10kg mbili, na 5kg mbili
*barbell
Hata mimi natafuta set,I don’t wanna spend 17-20k. Below 15k sawa
Zinaitwa "barbell"check on jiji or pigiame…utapata kwa wingi ukishindwa kufika bei koroga simiti ndani ya mkebe
Ni Barbell! Ongea na huyu jamaa 0714568438. He has rubber-coated weights. Alinijenga 350 per kg but that was last year…
Call this guy atakufanyia bei poa +254706500204 Kama. Tell him umepewa number na Deno
350 per kg for rubber coated that’s a steal
Is he the chap in buru ?
Exactly. Na he delivered! I was wondering how I would haul 40kgs in a matatu :D:D
No.
Enda decathlon the hub huko vitu ni cheap compared na sport house.
Randy ni ghasia, atakoroga simiti alafu aitishe 10k
[ATTACH=full]299099[/ATTACH][ATTACH=full]299100[/ATTACH]
Hii ni site gani kaka?
Decathlon wako Karen the hub.