Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) limepatiwa ardhi ekari 3 bure nchini Tanzania

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) John Bosco Kalisa Hati ya umiliki wa Ardhi yenye ukubwa wa ekari 3 bure bila malipo yoyote kwa ajili ya Baraza hilo Jijini Arusha tarehe 03 Machi, 2023.

[ATTACH=full]499190[/ATTACH]