Bar With Pool Table Nairobi

Wapi nitapata pool table sides za ngong road, na si zile za chokoza wanacheza killer

k1 and crooked Q should have them though it’s been a while. *westlands

Killer shiet nikipata kwanza naenda kukunywa kabisa mbali na hio meza

Westi is too far, lakini kuna mtu amesema feathers hapo dagoretti corner

hujawahi cheza killer alafu jamaa wako ligi unafichiwa white raundi mbili umeshuka.

Kilimani at Atlantis and Road House Dennis Pritt. There used to be one at Mchana opposite Prestige

It’s still there.

Pia jaribu Coco Jambo @shocks

Sikumbuki kama kuna moja hapo 51.

Taidys hapo tmall.

Aston Villa kuna pool tables mbili each floor