bar owners...

Is there a shortage of senator keg?from EABL? Or is this distributor in embu town creating an artificial shortage…watu wamenyota sana na hawwawes kunywa quarters sana

Hata huku across the creek hakuna keg…

1 Like

sasa unauliza watu hu-enjoy ma-Remy Martin 1738?

2 Likes

Angetumia jina mwafaka badala ya keg. Jug Daniels.

18 Likes

PEASANT PROBLEMS

2 Likes

jug daniels huniweza saana afadhali kumeza naps

:D:D:D:D
Hiyo sijaisikia earlier

2 Likes

peasant drinks…

…Ate Jug Daniels ?? this village tho…@Fala 12, Naps nayo ni NOMA !!! Inaweza fanya msee achizi. kuna siku nilikunywa quarter mbili . the rest ni hekaya.

Hehe…demand has outstripped supply.

Naps poela…afadhali jug daniels. Naps is bad news. Ushaienda police station juu uliskia beshte wako alibambwa alafu ukiulizwa jina ya beshte wako unapeana nick Name. Karao kwa OB anakushow hakuna mtu ka huyo kwa cell zao. Naps zinakushow uzunguke hio OB desk uende ku flip pages ukitafuta jina ya beshte yako. Mwishowe unajikuta ndani ya cell pamoja na huyo beshte yako unamsomea kwanini haku andikisha jina ya mtaa(nickname)wakati alikuwa booked in. It happened to terrence. Bahati the cop at the OB who Put me in the cell hakuniandikisha jina juu alikuwa amused by my actions. Aliniwachilia 2hrs later akicheka while saying hizi vitu mnakunywa haiwapeleki mzuri …ondoka hapa.

9 Likes

He he

:D:D:D:D:D:D:D

:D:D:D:D

hahahaha jinga sana!!

Lakini after form four naps tulikunywa sana we used to mix it with Keg then add those coffee sachets za five bob, ilauto-pilot tulikua tunapata wacha tu

theas no shortage… this shit happens shule zikifungwa, na SAA zile wako midterm

1 Like

Kwani hapo Tajiri hakuna Keg? Itakua history