Bar Next Door: Club photography imeharibia Auditor wa Nyeri ndoa

https://twitter.com/mohwambu/status/1766005598162715012

1 Like

I don’t allow pics of mine to be taken in a bar nikiwa na mboga ya nje…

1 Like

same though I have found myself Kwa page ya club fulani several years ago.

1 Like

Hao ghasia wa pikcha ndio wanafanya biz zianguke juu ya kupiga kastamah pikcha na kurusha Kwa mtandao. Kuna men like enjoying their sweat in silence.

Why do you even go to such clubs?

2 Likes

Kuna trend naona hapo buru next to safaricom parking. Kuna wines and spirits. Dudes park their car and drinks pombe zao Kwa gari. Listen musiki and by Saa nne usiku wote wameleft. Starehe ni personal thing you can enjoy it even in your house. Hii story ya kukunywa Kwa latest clubs is a validation. More of a self esteem issues. Ama labda unataka kuchota dem but you will drink responsible juu unafuata coomer.

4 Likes

Kuna ka place me huenda ku chill hapo marurui…its called Checkers… a park and chill…right next to quick mart. Unanunua pombe yako kwa hiyo wines and spirits…you chill in your car or join other guys chilling hapo nje. Best thing na hizo wines and spirits ni you can have good conversations with strangers as hakuna loud music and guys just wanna chill and vibe…its way cheaper na hakuna mambo mob. I have reduced clubbing. I rather go to ruiru dam for ambience. Drink…giza ikiingia unajitoa. Clubs are overrated

7 Likes

sasa arudi Kimbimbi akapande mpunga

ama karaba kwa akina @PERDITION akapalilie nyanya.

Hio bill ni 39k but 30k in mzinga mbili za Martel.
Sijawai understand hio starehe unabuy 1.5 litres ya makali for 30k na utalewa the same ukikunywa mzinga ya chrome ya 800
Sasa amelipa 39k kupewa pussy unaweza pata calabash na 150. Meffi yeye

8 Likes

:green_emoji:woi

1 Like

Hauwezi elewa, but yes mzinga ya 15k ni kitu na weka kwa nyumba na kukunywa pole pole kama mzungu, sio kwa club with some random people trying to validate your status… Bill yangu ikifika 2k Max it’s time to go home.

3 Likes

haha uko kama mimi… I drink only 5 beers…

1 Like

I would ban drinking in public areas if I was Governor. It deprives the city income. Club haziuzi. Plus it encourages drinking and driving.
Cc : @Lord_Wanaruona

1 Like

How? You live at home with your grandfather. Maybe useme wewe hukunywa keg cup moja hapo sofia joy na malaya.

True, na ujue hio Martel ni 8k Kwa naivas liquor store or other reputable alcohol shops.

Mimi Saa hii na piga miaka nane sober life. No drugs it feels good to be incharge of your life.

1 Like

Wenye wanakunywa kwa bar don’t drink n drive? A bottle of jameson goes for 5k in a club…same bottle naitoa kwa wholesalers at 3400 bob…i go chill park n drink nikisikiza system ya gari as i enjoy cool ambience of a dam

That’s exactly the point. Wholesalers are licensed to sell, not to serve. So legally speaking, you shouldn’t be drinking in the premises.

The only places jamaa wanafaa kuruhusiwa kukunywa ni bar, club, restaurant, nyumbani or any publicly permitted place kama lake, beach ama ata hiyo dam. As long as sheria umeruhusu.

Mi Nikiingia Governor, Nairobi itakua kama Kijabe. You can drink but within confines of the law.

Technically wines n spirits are not drinking joints but kenyans bend laws na makarao wanalambishwa zao to look the other way. These are things you can’t control as long as kuna corruption

1 Like

There is a wines n spirits joint i know that mbele ya hiyo shop wamevuta hema, screens, seats n tables na wameeka system…it operates as a bar but its a mere wined n spirits… place is always packed. Heard mwenyewe hutoa kitu kwa OCS monthly

1 Like