Bandit ndio kurudi Kenia

Mtalii pekee WA Ktalk. Natembea kwote kama PhD. Ruto. @Electronics4u aka Kagege master.

Tembea Dunia bila stress apana tambua takataka WA ktalk.

@Ndindu ulitembea nje lini? Ama SJ ndio mwisho wako mkiwa na wenzako.




3 Likes

Unasumbua sana Tangu uandikwe job West Pokot County

5 Likes

:rofl: :rofl:

phd in??

Permanent hiv damage

Hope hukuenda abroad na zile viatu zako za promotion kilimall

1 Like

Wacha akule. 2027 is just around the corner. The time to eat is NOW.

1 Like