Bama Meat

I sent for beef from Bama and hii nyama ikipikwa it stays red.

Is this normal kweli?

Anyone else whos experienced this?

Bingwa hio base nilishika beef, nilikuwa nmejitolea mno juu ilibidi niendee, all the way from Ruai hadi bama, gari nika park na huko nyuma niakingia kwa mwendo wa aste aste kusaka beef, kuingia hivi kwa gate nkapatana na mujamaa fulani akanisuka kweli kweli nikaenda kwa stall fulani. Nikashika kilo kadha na nikawa sho nitakuwa a loyal customer, nikijua naenda kutengeneza bone soup ni bugia pole pole nikitumia kisu kutoa nyama kwa mifupa. Ilikuwa sunday. Nilifika kejani nkasema ichemshwe.
Beef ilikuwa inatoa smell funny, soup ilikuwa ya black kama strong tea na ilikuwa ina taste kama mkjoo, design ya ammonia ivi. Niliachana nayo. Nika boeka sana na hzio bones nikapatia doggy hapo nje ikule.

Niliuliza butcher fulani kwa area yangu mbona ilikuwa ivo akanisho hizo huwa nyama za ngombe imekufa ama mzee. Since then sijai enda bama kusaka beef. Nikama uliuziwa nyama imefanyiwa ukarabati. Huwa wanatumia chemicals i guess. Pole sana kaka… :grin:

10 Likes

Shiet … hata mi nilitumana sunday

2 Likes

Huli nyama halal mbwa hii?

1 Like

Thought ni halal

1 Like

Can’t relate…My meat plug outsources from Ol Pejeta. Unakula nyama unasikia sawasawa…

1 Like

Kilo how much? Halaal?

Kuna time nilienda Bama nikanunua beef swafee kilo kadhaa nilikuwa na bash serious. Kufika mtaa nikaachia bro na wenzake watayarishe. After 20 minutes nikaitwa njee . Kuenda barbecue area near nyama, bro akanionyesha risasi kama 40 Chini ati wamepata ndani ya nyama. Ilibidi nimepigia OCS, ntamalizia story baadae

5 Likes

Malizia tafasali :grin:

2 Likes

ukitaka beef poa jaribu any of these butcheries…i shop ya pale kasarani

Naweza pata wapi nyama ya swara ama gazelle, huwa naambiwa ni delicious ajab. Ati ukichoma inanukia hata ukiwa furthest unaitwa na harufu ya kupendeza…

Used to eat when young. Back when part of Nairobi was a large game park

2 Likes

Game meat isn’t as good as domesticated herds. You heard wrong.

3 Likes

Inshort waliconfisticate Ile Smith&wekesa pistol yake kufanya some ballistic testing.

3 Likes

Hiyo ni pork so beef

I have delivered a dead cows meat at Bama like 10yrs ago. Ngombe ilimeza poisonous frog :frog: ocha…ikaanza kutoa mate mzito…ikafura tumbo na kudedi…nilikuwa nichimbie shimo nizike ama nipee dogi za kijiji but someone offered to buy it for 5k bora nimsaidie kuibeba…nikaona its better than nothing…wakachinja wakanibebesha only the meaty parts. Tukaacha guts na ngozi. Kufika Bama tulipata tumengojewa…iliingizwa mbio bane…but I hear Bama market ni chafu as in ukora mob sana esp ngombe ziko karibu kufa zinakumbizwa huko

2 Likes

Babaaa ulikuwa ile era Nairobi mzima ilikulishwa Punda? :green_emoji: in the 2000s

1 Like

hahaha olpejeta beef hutoa nyama yao burma.i see their delivery trucks kwa hio parking ya burma side ya shauri moyo

Ukienda ku buy nyama burma ni poa ukuwe na inside person.Kama hauna utauziwa nyama ya ngombe imekufa,ngombe sick,and in extreme cases utauziwa punda ama hata zebra.
I strictly have one plug mwenye nanunua kwake 15kgs once every two weeks.Its been six years now and i have never been dissappointed.

endelea kuota. You don’t even know the quality taste of that beef. You pretend to know everything na hakuna kitu unajua. Just buy beef from the listed butcheries and you will know what quality beef entails