Siku za nyuma kulitokea tukio la uhalifu ambapo mfanyakazi wa ubalozi wa syria alijeruhiwa kisha dereva kutoweka na fedha nyingi wakishirikiana na wahalifu wengine, mh balozi aliingia katika ukurasa wa facebook akilalamikia hali ya usalama nchini, kisha akajibiwa na mh mkuu wa mkoa kwenye mitandao hiyo hiyo kwamba walichokifanya ni uzembe kwani siyo sahihi kutembea na kiasi kikubwa cha fedha bila kuwa na ulinzi wa polisi au makampuni ya ulinzi mh mkuu wa mkoa alienda mbali zaidi akisema upelelezi wa awali unaonyesha kwamba kilichotokea ni “inside job” ambapo mh balozi alienda tena kwenye mitandao na kuweka picha ya huyo anayedai kuwa ni dereva wake ambayr anamtuhumu kuhusika na tukio hilo kisha kuahidi kiasi kikubwa cha fedha…sinema hii sijui iliishia wapi wapi mpaka balozi wa syria alipoingia kwenye ukurasa wa fb na kuweka bandiko lifuatalo[ATTACH=full]178941[/ATTACH]
Hii ni crime ambayo ilikuwa inahusisha dipromasia, Ilihitajika diplomasia katika kuihandle.
This is too sad for the whole Tanzanians security organs…,This shows how careless our internal security is…,Tundu Lissu was gunned down but still no one is arrested, and there’s is more incidents like those which still unsolved