BALAA RELOADED

Hii ni balaa

bed hufunguliwa na spanner namba??

it happened to be a coincidence

Ka-14

Na mbona yangu hufunguliwa na 13 ama niligongwa?

Ni kama bed yako ni ndogo kuliko ya @gashwin…Ama fundi alikugonga material ya bolts

:D:D:D:D:eek:Itabidi urudishie Omondi akuekee bolt y’a kufunguliwa na spanner maliar

[ATTACH=full]109965[/ATTACH]

Ndiyo maana kuamini mafundi huwa ngumu.

:D:D:D

Its okey wakuumbwa,mumekojolea thread ya Demo,isorait,@Deorro anawaona tu,equator in the offing.

sana.Apana amini hao watu

14/15

Yangu ni 11-12

12,13,14,15 the thinner the better coz mbao haiwezi pasuka easily

Hehe…vindu vikolapsanga

Tafuteni ile kitanda ya blue ya tene haina haja ya spanner