Najiuliza kwa nini hawa bakwata hawakutoa cheche za Idd au nayo haipo kisheria?
Jiwe hafai kabisa,
Najiuliza kwa nini hawa bakwata hawakutoa cheche za Idd au nayo haipo kisheria?
Jiwe hafai kabisa,
[FONT=courier new]Wangeutoa ’ Pesa ’ za kumalizia ’ Kuwajengea ’ Msikiti wao mkubwa hapa Dar es Salaam ungewatolea Wewe, Wajomba na Shangazi zako? Kuna tofauti kubwa sana ya ’ Kimsimamo ’ kati ya Waumini wa Kikristo na wale wa Kiislamu ambao pia umechangiwa kwa kiasi kikubwa na upande fulani wa Dini moja hapo kuwa wa Kwanza kupata Elimu ya ’ Civilization ’ huku wengine wakiendekeza na kuwekeza mno katika ’ Umwinyi ’ na kupenda ’ Kujipendekeza ’ na ’ Kuombaomba ’ pekee. [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Naomba niishie hapa tafadhali. [/FONT]
Walitoa ila lilikuwa ni “Tuzidi kulinda Amani”
Jiwe juzi alikuwa anakagua Msikiti…ile ilikuwa ni nyundo ya kuwafunga mdomo ili wasije wakatamka chochote…
Na kweli lilifanikiwa.
Ingefaa ukamalizia ujumbe wao kamili jamaa yangu. Umesahau sentensi hii…“waislamu lazima waiunge mkono serikali iliyo madarakani na sio kuikosoa”
Umenikumbusha yule Sheikh wa Sumbawanga alivyokuwa anawaka na kusema hatumuungi mkono ‘jiwe’ kesho ukapelekwa ‘mpunga’ akawatangazia waamini wake tena “tumuunge mkono jiwe”
Kweli penye uzia penyeza lupia.
Hii jamii sio ya kuitegemea sana katika haya mapambano, hawawezi.
Labda bado hawajajisajiri na kupata kibali cha kutoa au kutangaza maudhui yoyote…
Cc: @Mahondaw
Mmmh
Awamu ya 5 inavyoiva na Islamic sidhani kama wanaweza jaribu
Well said mkuu
Walaka wa Eid
Sheikh Ponda ameshatoa waraka wa Eid tayari