[ATTACH=full]498112[/ATTACH]
Bakhmut ukronazis are feeling the Russian meat grinder Cc @rexxsumbwa @Simiyu22 @Kahuni Maisha
Musk huwa pro Russia ni vile hawezi kuja out openly :D:D:D:D:D:D:D:D:D check tweets zake on the war or Ukraine utaona the subtlety
Yep, achunge thou asiende ki McAfee
Tukitoka Bakhmut tunaenda slavyansk. Halafu tumalizie na Kyiv. Ukronazi lazima watii.
Kwani ,Uko ground mdau ?
Niko Kwa trenches.