Bad move?

A friend of mine wants to relocate to Uganda. Ako na plots tatu huku that gives him at least 60K a month akiwa ametoa expenses zote.

Amekufia UG sana sijui amependea huko nini. He has already spotted a nice 2 bedroom apartment place inaitwa Ntinda outskirts za Kampala anataka kuanza maisha huko next year. Anasema akiwa huko ataona venye kunakaa aanzishe biz.

Amekuwa wazimu ama he is onto something?

Wanawake wa huko sio kama hawa viherehere wa Nairofi.
…anyway umshow asiuze hizo buroti.

1 Like

Si aende akule hepi huko arudi.

Kama ni boy boy aingie campus abook hostel aseme ansoma masters…adinye ma students arudi sahile mioto imekatika.

U.g kama wewe si expatriate ni upuzi tu.

Hauzi. He wants to see if he can invest there.

“Maisha ni cheap in Uganda”.

Yani ksh 60k is equivalent to ugsh 1.861298 million :D:D

imagine what 1.8 million can do in Uganda?

:D:D

Niliona ata pesa ya nchi ingine ikiwa mob compared to ksh bado huwa tricky coz you can find bread ni 30K ugsh.

Hapo kwa ugh na Kaho sijawahi elewa pia juu hio hesabu ukitumia dollar haingiani

Nasikia wao hushinda wakivuta pusssy lips sasa kuma zao ziko na labia bwaku zinakaa masikio imevutwa

:D:D

1 Like

Hio sasa ndo MGTOW

‘a friend of mine’…ata kama ni kuingia karura umevuka hadi Victoria buda!

It’s true huko maisha iko chini

But inaweza fanya mtu alalishe…Kenya is London kama mfuko inameremeta

na kama Ina meria mara?

Ntinda is a nice place. I used to stay at a place Called Ministers Village in Ntinda near the Ntinda-Kiwatule Road.

I chewed many ladies huko. Then I used to go eat goat meat on Gayaza road. The Choma is unique in that the smell of a he goat is present on the cooked Choma.

Hapo Ndere cultural centre Iko very nice show jioni.

Kijana aende atembee lakini asiuze vitu zake kenya

Did your friend manage to move? I need some insight…i wanna move too

He went and is doing amazing.