Some jokes are just too bad. Saa leo tukiwa baze tukitulia tu, Diego alikam akadai “Niaje maguys naskia Mary ana ukedi”. Tukasema ni sawa tu. Tulikuwa mimi, Dickson, Caleb (mwenye Crystal alinicheza naye), Bucha na JB (tunamwitanga BJ :D:D:D:Dafter reversing his name). So Mary is the hood whore (not a whore who asks money for sex but that chic mahali kila mtu amesafisha rungu naye). Diego can sometimes be stupid basically he knows that everyone has laid that chic so he brought up the story. Hapo ndo nilijua wanaume wanaeza ruka story yao yote. Bucha kwanza aliruka story ile noma akidai hata hug hajai mpea lakini mi najua alikuwa akikamua iyo mali almost kila siku. JB kwanza alikuwa jaba alisema hata hajui uyo dame ni nani. Mi naye nilikubali nishaikamua iyo mali. Dickson na Caleb walikubali pia. Saa hiyo Diego ameanza zile za " Sasa anzeni kutayarisha matanga yenu". Diego amekamua hyo mali lakini ni vile hatujui hapo yeye ni kujiconsole.
Nilionyesha siko concerned but chini ya maji nilikuwa nimeingiza baridi kiasi juu kuna siku nishaikamua huyo dame sisi wote tukiwa high na cd iliburst midway. Since we were high no one even noticed nilikamua nikamwaga ndani. Of course nilimwaga ndani nikampea dooh za pills, a month later nikaenda testing nikapata mi ni msafi kama pamba. Nimefanya undercover na nikauliza siz ya Mary ana ugonjwa gani akanishow ana malaria. Weeh for once Diego alipea watu pressure sana leo.
Guys, watch the movie ‘October Sky’. In 1957, American high school kids were building rockets. In 2017, young Africans meet to discuss who has ferked who…
Lakini.naona Americans are warming up to him. Especially after purportedly cutting corporate taxes and increased job creation. Inasemekana January saw 200,000 new jobs created.
Am telling you, the swing states are going back to the democrats, plus the ones they lost to the republicans, and they will still maintain the ones they have. From there Trump will be powerless, then a strong Democratic candidate will takeover. Trump kwishaaaa!!