Bad credit and creditors

Back in school nikisoma commerce I used to wonder meaning ya credit na debit…
Wacha niingie in business weeeeeeeh u can’t avoid selling on credit ata uwe na roho ngumu kama ya raila…

[ATTACH=full]501073[/ATTACH]

I have long learnt to deal on cash basis na kama in credit kuna level ile lazima tuwe tumefikishana. No way you will show up with a LSO or LPO na nikuhudumie. Nipe nikupe kama hutaki tembeza kiatu.

Same here… I left 9-5 for my own business and after 2 years of chasing cheques and accruing huge debts, I came to the conclusion that CASH IS KING. No exceptions.

Learn to live like a drug dealer wadau and embrace true freedom.

Story za kufuata invoice zinaweza fanya uchotwe na bank bure. Halafu pia zinafanya ukae kama conman. Unakopa pesa kutoka kwa watu mnajuana then payment yako ikichelewa inabidi pia wewe umedefault wasee wanaanza kukuharibia jina. Msee hata mahitaji ya nyumbani inakuwa shida na ngamia ya mtu imekwamilia payment yako running into hundreds of thousands. Cash business ni mzuri hata kama inaingia kidogo kidogo but uko sure nayo kuna vile unaweza jipanga halafu pia inakuwa rahisi kuhepa taxman.

This was the most painful part… people I had grown up with and gone to school with turned on me and spread all sorts of shit about me, but nikanyamaza tu. The minute I got a little money I paid them back + some interest and never spoke to them again. Kwanza time ya corona walahi niliona shetani mwenyewe… never again.

It can really be unsettling if you don’t understand human nature. Na saa hio unapata ni maumbwa umesaidia for days on end while they were starving but now that umechelewa na ten bob yao for a month wanaona ni kama dunia inaisha. Mimi I drew a line in sand when it comes to friends when some stray dog nililea kama ndugu yangu alianza kunionyesha madharau ndogo ndogo. Imagine msee ulikuwa unapitishia.kitu chini ya meza when others are not looking ndio aibu isimpate telling you ungoje akaulize wife after you put in a request to him. Msee mpaka unamtoa kwa nyumba akiwa juu ya mawe atembee kidogo stress isimmalizie kwa hao. Unamwambia tuu awache ujaribu kwingine.

True story…kwa biz…small cash payments made frequently into your biz are in most cases better than waiting for one big bank transfer…but Kuna watu Huwa obsessed na big transactions ndio wafeel wako biz

Am learning the hard way, was recently contacted to handle some job to be paid in May told them to wait till May we do that job. They said watatafuta mtu mwingine gladly told them to do it na nikaenda.
Man uko na invoices lakini Cheques hakuna. Afadhali utulie cash uingie mdogo mdogo

Kuna maumbwa watakupea postdated cheques of the payment split several ways but track them from their end. A day to the cheque date or on D day, umbwa ya mtu inakupigia kukwambia ngojea kidogo kuna shida kwa bank. Hio ndio inakuwa karata ukikuja sana anakupea go ahead to bank one of the cheques.

When you get atleast one which matures, the debts to pay are so many such that it’s not worth it

Hakuna kitu huuma kama kuwa na 500k kwa account asubuhi but by midday you are hustling people for 2k ujishikilie nayo since umelipa madeni na pesa yote.