Bacteria breeders: Wakikuyu wacheni huu ujinga

[ATTACH=full]427655[/ATTACH][ATTACH=full]427656[/ATTACH][ATTACH=full]427657[/ATTACH]

Wewe ndio utaacha kukojoa kama umesimama so you splash all over. You are supposed to sit on the toilet seat.

Yaani unakojoa ukiwa umeketi kama mwanamke? Oh my god!

:D:D

Huyu ni ladyboy

[ATTACH=full]427666[/ATTACH]

Mwanaume ni kusimama bana, ata ukiweza, kunia kama umesimama

Bacteria are everywhere in the air water, soil Kangocho etc.

[ATTACH=full]427675[/ATTACH]

Kwani kaduduu,ama wacha tu.
Sasa mimi ule nakojoa first ka nimesimama ndo nikae nikunye na amani bila deki kugusa bowl si kwako ni dhambi?:D:D:D:D

Hizi vitu hubadilishwa mara kwa mara but kanairo utaona bedsheets zinaanikwa once a month sembuse toilet mats? Tusiongelelee duvet ju hizo ndo hupatia mtu nightmares ulizilalia na kunusa uvundo since hazijawahi oshwa.
Alternatively kama uko hizo mats kwa toilo,a simple spray of alum or mild bleach inaua bacteria

Na wewe si mwanamke:D:D

Kangocho hakuna bacteria

Few remember to sanitize/fumigate

Kwani ni detachable ati ukimaliza kukojoa unaweka kando?

Na unafaa kuinama mbele hivi ndio unyoroshe mubibi.:D:D:D

[ATTACH=full]427788[/ATTACH]

[ATTACH=full]427793[/ATTACH]

Sisi real mean, kukojoa ni kwa fence, hadi nyumbani.
Cased closed.

Inform hio ghaseer priss.

This has been a game changer kusema ukweli,

Kabisa