Back to winning ways

Easy win against Brentford.
We should have scored 5 goals but haisuru…
Timū nī njegaa…

Tuko sawa but Huyu Antony ako na tamaa nyingi

Nani atafunga hizo zingine 4? maze top 45 goalscores epl tuko na only to players kwa iyo list; Rashford at 15 na Bruno at 5 goals
But atleast Eriksen mkombozi wetu is coming soon also Casemiro too.

Hizo attempted curling nimechoka kuziona to be honest.

Anaudhi jamaa , zote zimepaa juu ya post.

Man United will finish at position 8.

Ata iyo Brentford itawapita. Harlaand hoyeeee

Hoyee