Back to the city

Niko njiani kurudi jiji kuu.
From the west kuona ng’ombe na kuku plus surprisingly M7s fools released the pickup bila tafash…mbele iko je

Naona kadudu ka chap chap kamekazana joh…[ATTACH=full]188984[/ATTACH]

[ATTACH=full]188985[/ATTACH]

Siku ya Kanitha

How is your wife doing?

Huyu dereva wa basi haoni kuna an oncoming lorry? Ama leo sunday watu hawakufangi

Huoni basi limeandikwa “God is Great”.Maybe dereva ni pastor na anataka kukutanisha watu na Mungu cha lazima bila siku zao kufika.

Hehehe…basi Ime lean right

I know your kid by those shoes on the dashboard.

Ako lights out backbench…watu ya Cendro hawajazoea long distance
[ATTACH=full]188990[/ATTACH]

unaanika bibi hapa?anyway ni material poa(i mean wife material)

Cute but hapana anika yeye namna hiyo

Unaanika bibi hapa sahizi kuna mtu busy searching for coordinates za kwako

unajicrop out but unaexpose wife, shenzi type!!

@RetiredVirgin ako sawa lakini umemdandia hadi udder zika shuka.

seriously? :D:D:D

Ata mimi was like “wtf” I asked about his wife sarcastically juu najua yeye hupenda kumwongelea sana :D:D

Hawes make…huyo ni want pekee…

Hahaha…kufahuko msee was Arimis…Kuna kamjamaa kanaown hizo jugs…

Shinda Hapoo…

Haya my turn for the 3rd leg ya trip…napotea wacheni comments na heads up on the road situation ahead…time to floor it… Nyairofi from Mau summit in 2.5hours

mpaka nyonyo za khupipi ziko nje :D:D

Hahaha…huyu hawes ingia box ya vichwa maji na midgets…

@RetiredVirgin sio kamjamaa yeye ni your competitor.

Cute family though. Endelea kulinda na kulisha familia yako. That’s what real men do.