BACK TO MY ROOTS

Leo ni Thursday tunasamba reggae… Nimewai mix kadhaa si mbaya sana… Kuna hii ya Lyta iko fiam
https://www.youtube.com/watch?v=v824klH4Jtg

Alaf ma singles c zikam akina sexy sandy tukifukuza njeve mdagi mdagi…

ION mimi akuna hare sijawai enda; pool parties za ubabini, concerts za rudge etc lakini hakuna kitu hunasa kama kuingia Reggae hii dunia… Reggae inakuaga na ma-pose kivyake inakushika mdogo tu, kidogo unaskia dj amengusha kitu kama ya You caught my eyes- Judy Boucher nakwambia jaba inashika hadi kwa mishipa my friend… Reggae pia kuna kurombosewa lakini skuizi tunacheza kibuda so io tunaachia ma vijana… REGGAE HUDAI SANA SWA!!! LONG LIVE REGGAE

5 Likes

EBU NTUMIE HIO MIX BLO

1 Like

Hapo hujadanganya kabsaa REGGEA IJA HESHMA YAKE NA SI TAFADHALI

2 Likes

Uliwahi Pwetty P?

Judy boucher ni fyam

2 Likes

www.mixcrate.com has all of em mixes plus others in all genres
if you’ve installed IDM just click the play button and start downloading the video or from youtube.

1 Like

https://www.youtube.com/watch?v=yo0HfDSGMW4

one of the most fire riddims. most of its mixes on utube are shit so jitafutieni

https://www.youtube.com/watch?v=peUUoUWikDs

2 Likes

https://www.youtube.com/watch?v=mOpCL3ggpCQ

2 Likes

Zii

Pia hii ya Kalonje inatesa

https://www.youtube.com/watch?v=lZQ8UN4rMsk

1 Like

shida ya mix mingi za huku ni maeffect mwenda…roots zinafaa kuwa chilled out. wacha nitafute mix nilikuwa nazo niweke hapa utapenda

1 Like

tafuta bassline entertainment kwa mixcrate then utafute mix zao za roots. noma.
By the way is it possible to attach an mp3 mix here @Deorro? imenilemea

1 Like

Don’t give up.

1 Like

Bado hizi ni dancehall reggae. DJ masti huchapa foundation reggae mtu wangu zinakurarukia.

1 Like

Hao wasee wa Mixcrate walikuwa wanadai unaweza embed mix kwa website yoyote.