Msee jana niliingia gym na kupiga zido kiasi then nilicheza basketball hadi jioni.
Kufika kejani nililala tu poa but nilikuwa nimechoka.
Leo morning naamka naumwa na mgongo like shit

Tunajua ulinyonga before ulale
Umekaa how long bila zoezi?
Nimekawia but nimekuwa nikikeep fit by walking