There is this email nilifungua nayo shark in 2013 so vile shark ilifungwa 2015 nikawacha kuitumia leo nimeifungua nikapata evidence vile kunguru kadhaa zilikua zinajipa viharisi
[ATTACH=full]206585[/ATTACH][ATTACH=full]206586[/ATTACH][ATTACH=full]206587[/ATTACH]
Wengi wao hutuma picha ambazo they were taken while younger than they are and mkipatana unaona ni kama horror. But ni poa ata walifunga izo personals sections.