Bachelor party ideas

Niaje majamaa. So, kuna beste yangu anaondoa lanyes market this month. natafuta ideas za stag weekend. Ideas zikwom.

Talk to @Shiroe & @Staff Member- they organise parties

kutoka wapi NV?

Mwambie akojoe alale, first things first.

Ahsande.

Something doesn’t add up [ATTACH=full]201784[/ATTACH]

Safi

Huku tulikuja mbele yenu, ni white tumekuwa tumeficha.

Bavon or liddos VIP

Naona mans huku wakilia vile walirambishwa mavi huko maze. Alafu place hatutadandiwa tukitokea

VIP hakunaga maufala mob. Mkitoka, mchukue cab. they are very many hapo

How do they compare to XS?

xs is usually too crowded on weekends

Bora siku ya harusi msiamke mkiwa hivi
http://waterfordwhispersnews.com/wp-content/uploads/2014/03/rsz_l4tv1go6u7pka7v5-cp0x120x1280x840-rszw640.jpg

Any other decent joint nje ya tao?

Haha, kama sio hivi, have you even raved?

Kuna moja pale Adams arcade where you can order a stripper, inaitwa Hercules huko utapata Ethiopians, middle eastern, Swahili women

Leta details bro. Ebu cheki DM

hii ni club ama massage parlour