[ol]
[li][SIZE=5]Hii baby shower huwa ni nini na ya nini? (Kenyan Version)[/SIZE][/li][li][SIZE=5]Wanaume ni wahusika katika hii sherehe? [/SIZE][/li][li][SIZE=5]Kama wanaume hawahusiki, huwa wanaenda wapi?[/SIZE][/li][li][SIZE=5]Mtu hubeba nini akiwa invited?[/SIZE][/li][/ol]
Note: [SIZE=5][COLOR=rgb(184, 49, 47)]Kama hujui kitu kuhusu Baby Shower pewa kiti na ucheze chini![/SIZE]
[SIZE=6][COLOR=rgb(41, 105, 176)]Ni hayo tu! Hekaya zikuje:cool:[/SIZE]
-Ni ya madame sana sana unles unabebeana kibenje
-nunua kitu yakumfaridi mto kama vile diapers,blankets …fikiria hizo zingine
-wanaume wanakuaga either kwa ka local ama job depending on the day and time,you send bottles of alcohol wanawake wajibambe pia
@Josto Bwaku @pimpin5000hoes
[ATTACH=full]166778[/ATTACH][SIZE=7]poleni watu wa A kiswahili sikujua hakuna neno kama hio,labda nimeitumia kishenz please fanya korekshen ya vile ningetumia.Naona pahali ujuzi imewafikisha:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D[/SIZE]
you did not even type, you copy pasted even source format. go back to the site you copied from, scroll down and I bet the questions were answered there.
Hii ndio akili ya mtu hajui kutumia tools za editing, but thanks 4 the ups sikujua inaweza tokea kama ya site! [COLOR=rgb(184, 49, 47)][SIZE=5]Pewa kiti na ucheze chini na si tafadhali![/SIZE]