Baby Panay

Mlimaliza huyu muyamaa kisiasa siku hizi haonekani, enigma na heke walienda wapi

1 Like

@Baby_Panay alipost mbisha ya mumaz alikuwa anadai 300k amlipe in kind. Nikama mujamaa alipeana hio pesa, sasa anaona siku mrefu hata za bundles hakuna.

5 Likes

My love, baby panay, sitaki kukuona tena social media ukitafuta hawa wasichana wa rika ya my last born. Hii ndio mara ya mwisho tunaongea juu ya hii mambo tena.

5 Likes

Ako na omutoto no2 Mombasa wakikula raha

2 Likes