Baby Mama

Mans nime import ka broiler, fresh graduate wa KU. Nimejua rungu by end of the weekend itakua suafi kuruka.
Baby mama nisha mpanga vile nitakua ocha kusort out some family issues, juu ana tabia za kutokea tu unannounced.
Friday ndio hio imeenda fiti, broiler nima smile tu ear to ear on Saturday morning.
Baada ya mid morning glory, tumeruka shower tukaamua tutafute supu hapo mtaani kutoa hangover.
Kidogo kidogo simu ndio hio, baby mama!!
“Niko around, umerudi kutoka home?” TF!!
Nikajua huyu ameniona mahali. “Eeh, ata ndo nafika na ma cuzo hapa tunatafuta food”.
Akili sasa inapiga vile nita panga hawa watu, baby mama akikuja hua ni either aniwachie mjunior ama niwachukulie hao room mahali, kwangu zii!
“ pia tuko na hizi side za kwenu ruracio ya my friend, imagine hawajapanga vile tuta lala, sasa sijui nitafanyaje na mtoto”.
Nika mwambia acha tufikishe chakula kwa nyumba narudi town kuona vile nitawasaidia.
Budget ndio hio ni tight, ikabidi nimepigia arif simu anipee nyumba juu alikua Mambasani.
Sasa sisi wote tuko in the same building. Nimepiga Baby mama stopper asikanyage kwangu juu ya the bad blood between her and my relaz. Ame abide hana shida.
Nime wa sort food na other necessities wanahitaji, nikarudi kwa broiler.
Saa mbili hivi nikapita pita huko kwa baby mama kuona vile wanaendelea, amejiekelea hapo na dera anawatch movie kwa simu, mjunior anacheza cheza hapo. Akasema niende nitembee nae kidogo juu anasumbua. Saa mbili usiku sasa nitaenda wapi na mtoto. Nikawatolea mattress nikatupa hapo sitting room nikatoka na mjunior. Nikapiga malap moja mbili esto nikarudi ma saa tatu. Mjunior amelala in the process nimembeba.

Heheh…kwanza kurudi napata stima imezimwa! Ah! Kwani one hour mtu asha zima stima aka lala. Nikaingiza mkono nikafugua mlango.
Kwa hio giza, nikajua tu hii ni trap design alikua amelala. I could clearly tell hio dera haijafunika chochote. Nika jiuliza kama niwashe hio stima . Nikawekelea mjunior kwa kiti with some commotion ndio aamke ajifunike, wapi bado anajifanya amelala.
Ah! Kwani iko nini, nikawasha lights,
Dera ndio hio imeefunika hadi Uso, kitu clean shaven imeniangalia hapo, mapaja imepakwa mafuta imekubali. Rungu iligutuka bila second thought……

To be continued….

In short ukakuwa mijinga ukaongeza mjunior number 2.

amka before ukojoe kitandani

Dem graduate wa KU ako na milage kushinda your wife.

Uliza kina @Azor Ahai vituko za Bishop square, kwa MBuguz, Nyayo, Ngong etc

Amka kabla ukojoe kwa kitanda

yenyewe wee ni mgaagaa na upwa.

Ulikula wali mkavu …mpubaff sana

Elders tulisema upussy ya to be continued unapelekea your village people

Hiyo imebaki enda malizia nyanyako

sijasoma huo ujinga

upuzi tu. baby moma ako na right aje ya kukukazia starehe kwako. Ujinga ya kujitungia

Tunajua ingekuwa mambo na orgies ya mashoga ungekodolea macho kodo kodo reading it over & over as you reminiscence your last nights gangbangin!
Ghaseeeeeeeeeeer :smiley:

Mashida zingine sisi wanaume ndio hujiletea… Me included.

Fungia hapo.

Kajaba kameshika kweli kweli.

Tema, zimekurunda.

[ATTACH=full]429301[/ATTACH]

Obiero meza ARV na ukule balanced diet.

Ukiwatch ngwati usituletee sub title, menses wewe

Punny Ass Lambistic shit