[MEDIA=facebook]100044519075944/posts/536959197798045[/MEDIA]
Soja analipwa 5k salo na bado ako na nguvu ya ku-confront chizi amebeba panga? Na ukichinjwa unakuwa replaced same day, hakuna mtu atalipa medical bills ama a-cover funeral expenses.
Edit*: On closer inspection nimeona ni fimbo pia huyo ghaseer alikuwa nayo. Still stupid to confront a madman without backup.
Ni kama huyu alifika shift kama amechelewa yet wa mchana cannot leave the station until wa usiku aingieā¦ No matter how late. The only other option is to snitch on him to get the supervisor to send a replacement.
Work place injury in some jurisdictions nikitu employers huwa wana avoid sana. Huyu mbwoy job yake ingekatika hivyo.
Soja alikufa hivyo tu