Baba wa Marehemu

Mama wa mwanao mtarajiwa akiavya mimba (ama aipoteze ile mimba kwa sababu za kawaida) mimi ni nani katika swala zima hili, baba wa marehemu ama?

Unabaki tu @MwiziBora

:D:D…wacha ushenzi, bwaga ushauri wako

Marehemu.

Mh

Utabaki kuwa [COLOR=rgb(41, 105, 176)]@MwiziBora

:D:D

Cheza chini Jirani

Utabaki mwizi bora:D:D:D:D