[MEDIA=twitter]1609100878342139904[/MEDIA]
Selassie I jah Rastafari
[ATTACH=full]487879[/ATTACH]
Shida hapo ni driver. Angeweka low range before aingie kwa matope. 4wd is a skill. That said, wasee huendesha Prado za petrol na mbwa koko hakuna tofauti.
Hii ni ulafi sasa.
Poor tyre choice
Prado inataka BF Goodrich AT tyres sio hizo Chinese chieth za probox
Derefa mijinga. Naingisa gari kwa samba kwani akuna akiili?
Hio kitu iko karibu na greens Dio @cortedivoire ataanzia
so huku ndio wametoka
Why would you want to take car with you. Omera chukua boda ama tractor hapo kwa center uende dala.
Lazima tushibe 2023 ikifika ikute tuko steady