But his time has passed.
Sisyphus amolo ojinga
…World record holder!
kutoka mbali ≠ kuenda mbali
Martha Wangari pia ametoka mbali… lakini just like Baba Moi, wakati wao umepita…
James Aggrey Bob Orengo is the only one still winning elections.
These guys should be in retirement homes.
:D:DBe nice bwana. Though ni ukweli. He’s a stone-pushing Sisyphus mwenyewe. Wapi @Taramdaramdaram?
Ametoka mbali kama mchanga ya kisima/ well.
He shud now retire. We need issue based n development minded leaders now, not cows
Not like the younger ones have issue based n development minded. Tell me what issues Murkomen has helped resolve. Show me one bill he introduced while speaker that’s enhanced your life.
Unataka aretire tutetewe na Nani ? Unajua msito circle sisi wakulima tunataka serikali iko na sera functional .wewe uko na deep fixed asset unaeza uzia mps wakipora Mali ya Umma .Mimi ni mazao tu ya shamba huwa nauza .