B-Club is not for everyone

Mimi nimechochwa na kadem eti nimpeleke B-Club. Nilikuwa nimejiami na 10k ya damages. Venye hiyo pesa iliisha na hata sijalewa sijui. Only silver lining is that we still fucked. This story is from last year sometime in October. No way I’m ever going back there kama sijashinda SP Jackpot ama kama sijamaliza kulewa kwa local.

Meanwhile even after clubbing, actually especially after clubbing, we must fuck.

Is this post about the fact that you went to B-Club, that you spent ten k or that you ferked?

That 10k aint shit at B-Club. One needs plenty more to get di-runk over thea

Peasants

Next time when you feel itch to share such stories ,kindly keep it to yourself.

Mimi nilishakubali sijafika ligi ya B-club. Huko kama unaedesha anything below TX Prado(2010+ sio ya Uwes ya 1997)you don’t belong. Networth at least 50mil…minimum! Najua sio talkers wengi wako hiyo ligi.

Hata mimi nilikubali. Lakini nikishaonja kakitu kwa local naweza kujichocha niende

fala

Lakini kuna hopes. Malaya wa tao wakianza kwenda huko wadosi watahepa tu. 3 years from now itakuwa manageable. Either ichapishwe na Malaya ama nifike bei

Naskia waiters wanaibia watu huko. Kaa rada…I think it’s just hype. Hata F2 ilikuwanga palee

True. experienced it. but beer is just 300 sok. not bad

That’s my loco na sisumbui

10,000/300 = 33 beers… na hakulewa?!!

What do you mean. Mimi nilikuwa nauziwa beer 6 soo unajaribu kusema niligongwa half the dough?

Mimi ni
litoka kikundi ya kulewa lewa fwaa nikaingia ile ya kunywa beer mbili na kwenda home. So hats via iuzwe 1k, nitakunywa tuu na niende home. Story za kununulia kunguru pombe niliwacha pia. Akitaka kulewa, tunashika mzinga na kuingia undisclosed lokeshen tunyanduane.

Huko ni ya wale watu wa keeping up with the Joneses. New money husumbua some people sana.

Lol, uncle… place kama hizo hutaka unatoka mancave ukiwa maji mbaya, pale ukifika unapiga whitecap moja unableki. Thank me later.

Shida ni pia scrutiny ya kuingia hapo ndani si mchezo. Kwanza madem dress code lazima iangaliwe kabisa ndio wachangamshe mafisi

Next

just buy a bottle of bellaire which is 3k and if you want to get more high pool with people to buy a mzinga plus beer,