Amejitetea sana
lakini Admn hapo hamkucheza poa. Syncing this village to peoples email. On the other hand who uses a real email for this shithole site? I have a special junk email that i use to create profiles online places kama hapa, pornhub, tinder, tagged…thats where all my dirt goes. Na mko na guts za elders ati wa link their facebook and twitter accounts hapa.
Najua admin amechimba data ya watu happy.kisha auzie jsks
Kuna link tafasari nifike uko
Nilikuwa huko i saw them in one of the threads. Utaona
Umeamua kumalisa huyo M2Random
Yaani kumpe Asoro Ahai ni kichana mutogo sana hifio gaaki?
Hehe interesting for a person of his caliber
Hio ghaseer hainaga bahati
@Azor_Ahai ako sawa…come back elder…
He’s a billionaire
Unaona wapi hizo email?
Tuseme @Azor_Ahai na @ChifuMbitika ni maskini hohe hahe and instead of working to improve their lives kazi ni kuishi fake lives na kuset fake standards hapa kijiji? Ati mara 100 million…mara ranch in laikipia.Kuna mungine bukusu wa imaginary X5 pia huyo nashuku ni hohe hahe. What doesone gain by pretending to be someone they clearly arent? Isnt that a kind of mental sickness?..yaani mnadanganya hadi watu anonymous? Sick! Hebu wekeni hizo mugshots zao hapa for future reference
X6
Ndio huyo Chifu Mbitika, ranch owner pale Nanyuki
Kuna ingine @chifujura akipalilia mihongo
I don’t know why anyone would be fooled by this one. All he did was post fake photos and praise himself using a fake “Jura”. I figured him out the day he posted a drink in some shady shit hole nikajua this is a hasora.
It’s a sad life I tell you. But I give them “A’” for imagination. Kwanza hiyo ya 100 million.
It’s very easy for Azor Mayai to have made $1m doing what he claims to have been doing - if he’s been at it for 10+ years. Do you guys live under a rock? It’s the gig economy. Savvy millennials wa 90s na Gen Z can multiply income and wealth faster than previous generations.