Why should they invite Mbilia Bel to perform in political rallies?
[ATTACH=full]449411[/ATTACH]
Mzee tulia siasa ipangwe
Enda osha vyombo, mambo ya siasa achia wanaume
Pesa za kumlipa si zako. Hauja invitiwa. Shida Yako ni Gani?
Niaje mkubwa?
Xaxa bro
Unajua vipi si zake, zako au zetu? Mlipa ushuru lazima ajue.
Salamu peleka radio jambo.
omanga akiperform twerking hukuona shida.
[MEDIA=twitter]1451943949850001413[/MEDIA]
Wueh!!:D:D
[ATTACH=full]449434[/ATTACH]
I have seen the guys who songed sipangwing perform at Kenya kwisha rallies with omanga twerking,no one in azimio has complained