“Peaceful”
Adoninja ameamua vita iendelee
Katiba inaruhusu mtu yeyote kuandamana. Wewe kama hutaki kuandamana shauri yako.
Raira anasubua
Pana tofauti ya maandamano na uharibifu wa Mali ya kibinafsi ambayo Mganga Agwambo amebobea. Labda ulisoma katimba badala ya katiba.
Why do you need a procession to serve a petition?
Unajua kusoma kweli? Where in that letter did they say wanaenda kuharibu mali ya mtu.