Avocado

Kwani kule muranga nikubaya aje avocado zinaibwa kwa mashamba sana

https://nation.africa/kenya/counties/muranga/avocado-theft-murang-a-farmers-spend-nights-in-their-farms-3839354

Avocado rustling is very prevalent anywhere they are grown as cash crops.

Interesting.
Avocado farming is the way.

Seems a project worth pursuing

Can this grow huku pwani? And how long mpaka the tree matures?

In Mexico the drug cartels are getting into avocado farming and protection…crazy times we are living in

I had approximately 20,000 fruits in my farm thus was expecting around 120k after the harvest.
Guess so far nimetumiwa pesa ngapi?
10k.
Na nimeambiwa matunda imeisha kwa miti.
Hiyo miti nafikiria niuze kuni.
NKT! It’s a cartel!

Yeah I hear it’s more lucrative than meth … also a legal commodity

Umegongwa mbayà

:D:D:Dusikate miti tafuta watu wengine wa kazi

Kama ni local umeibiwa , kama ni hass au fuerte umeibiwa zaidi.

Tafuta moja Kati ya hizi exporting companies wanunue. Their prices are lower but much better than what you posted here( 0.5/= per fruit).

Panda sunflower ,you will reap big before the end of the year

It’s those guys who were picking

Yes ni hass na fuerte.

Hapa walikuangusha.
A single fruit should fetch ( 6-9/=).

Problem is that I am a telephone farmer.

Noma sana .
Tafuta relative mmoja trustworthy huko mashinani akusimamie harvesting days. Pea yeye token ya maana na hakika ataku defend huko.

Alternatively liase with the exporting companys field officer in that area, yule ataconfirm maturity & quality issues during harvesting at the farm level akusimamie. Baada ya kazi rushia yeye airtime kama motivation.

Iyo ni avocado, je sasa mkipea Jamaa ya Sugoi kura?

You must be a rich one delegate bana

Wapi Mdau?
Nirushie kakitu…