@aviator

The hustle is real, soko unafungua saa ngapi? [ATTACH=full]30116[/ATTACH]

11 Likes

he he …straight outa kinangop…kitungu ya mashaki…

Mwathani!!! Hata side mirror ya left hamna. Meaning kagari katulize hio side ya right hadi mwisho:D:D:D:D

1 Like

This is amazing, hope NTSA hawajamanga faida yote

hehehe…
kutafuta nayo

1 Like

Death trap

Bora pesa iingie.

Am sure by the time afike pia makarao wa traffic lazima walikula.

This guy has been making trips to Nairobi (Marigiti/Marikiti/ Wakulima Market) almost on a daily basis, from Kinangop or somewhere , nilimjua about 2 years ago, question is, ametoboaje all that long na NTSA crackdowns?

hhehehehe

haka ka gari nakajua,ni ka hapo kikopey

Ni kutafuta unga.

3 Likes

Ukipata unga utakula na nini kama mboga zote umeuuza?

2 Likes

:D:D:D bora mboga zifike sokoni … the hustle :rolleyes::rolleyes:

uza mboga upate unga…food for thought…