Niko nyuma ya auctioneer , watu walipe madeni

mtu 2 people jobless just like that
Kuna jamaa ameuliza driver why he wants to kill himself and yet the vehicle is not his, eti awache ichotwe.
@Yuletapeli how is the transport sector even you guys are having cashflow issues?
Ni watu hawalipi madeni. Pesa iko.. mwenyewe ndio haja fulfill agreement. Na ndio ifikie hapo, hajalipa kama three months
Bad employees;Dereva na makanga wanamcheza investor mchezo ya taon..sasa kazi.imeisha
Zi shida ni mwenyewe halipi deni..
Mkuu kama upate wanamkula kichwa kila siku hakuna pesa ama ni short maybe uchumi imekua mbaya.Tuseme akitoa :mafuta , salary,makanga,garage, karao,mungiki,kanjo the net profit upate ni kidogo.He is not able to service loan
Hio ni KDC inakaa nikama ishaenda mpaka Chile mara 56?!

Gari ni engine.
No it do a not work that way.. gari Huwa na target. Kama ni ten k, unapatiwa ten k… Hizo expenses sio za mwenye gari. Ni either mwenyewe akona project nyingine that he is financing that’s why amejipata hapo and it happens. Mtu huona Wacha niweke hii mia moja pale nitarudisha.. juu economy pia sio mzuri unaanza ku delay. Nshajipata hapo na sio once. But Huwa Kuna solution… Hio nita wafunza elder kwa thread nyingine.
… Noma sana.
Hawa Auctioneers sikuhizi wamekuwa wajinga sana. Most will even reposses your car after 1 month default.
Wao huwa wanataka kukulia hiyo repossession fee. They dont give a rats ass kama utalipa loan yako.
Kama kuna watu hawatawahi kuona mlango wa Binguni, ni Auctioneers.
Huwa Wana unyama mwingi sana
Why and they are just doing their job ile wametumwa na bank?
Dereva mjinga kabisa. Angeachana na gari kabisa apigie mwenyewe amwambie gari imechukilia na auctioneers. Nikiwa makanga ivo ndo tulikuwa tunafanya. Gari ikishikwa na askari na makosa si yetu unapeleka gari stenje unapigia mwenyewe yeye atajua vile atasort hiyo ngori lakini kama makosa ni yetu e.g tumebeba excess itabidi tutoe gari sisi wenyewe.