Attention "Ktalk Guests"

Niko hapa chini ya maji katika pilkapilka zangu za U watchman naona Lo!
Online Members 68
Guests: 168

No wonder kijiji imetulia…
These guests hawawes kuwa ni wazae wa Senate aka MKB (Mukuru Kwa Bidens). Hio nyumba ina less than 50 Bidens. (wazees)

To those guests who are watching and silently reading the comments herein, nawakaribisha kwa moyo mkujufu.

This is the most peaceful and engaging anonymous online forum you will even come across.:cool:.
[SIZE=7]Sure thing![/SIZE]

Karibuni na Mbarikiwe wakati mnapoaza kufanya registrashen.

Ahsanteni.

Kcr ziko wapi?

Vipi mdau.
Karibisha guests.
Wasikuogope…

Na wasikuje na ummeff ya Zukabaga streets hapa

Bado uko?

Lost and found…

How many registered members are we on this kijiji including the ones in Siberia desert?

51 Sausands.
[SIZE=2](ukiongeza shainiz mbots tuko karibu 200 sausands)[/SIZE]

Hahahaha. Atî shainis mbots?

Rudisha kcr watajoin

Juvenile mafwi tucker tucker thread

Mbona machungu na sio mimi nilikurusha Kazakhstan?

Hebu nipee leakage chief Nani alifanya hivyo

Those are just multihandlers, who’ve been signed out by their browsers but they don’t realize. Mtu akiwa na tabs kama mia amefungua, aka log in na handle kadhaa, lazima session zingine zi time-out bila yeye kujua.

Hata hao 51,000 ni hao hao tu.

Don’t overrate yourself.

Ni Mimi ndio nilikutuma. Nilikuwa na try kuona kama handol yangu ya mode inafanya.

Tena mabubu ni wengi sana. They should be demoted.

[ATTACH=full]337047[/ATTACH]