Attempted Robbery Kongowea

Three guys on a motor bike attack Mombasa county vehicle carrying days correction ikitoka kongowea market.
Rumours flying around that chapaa imeenda but it has not been confirmed.
[ATTACH=full]20224[/ATTACH]
[ATTACH=full]20225[/ATTACH]
[ATTACH=full]20226[/ATTACH]

1 Like

Thanks for the update in the meanwhile correct correction

correction, erection. Osungu.dll

3 Likes

usungu ikikuja na sheep

1 Like

Lol meria mata jus pranked grammar nazis n u all fell for it. Well played meria well played

1 Like

CONFIRMED, PESA IMEENDA. me thinks it was an inside job.
Maafisa wa polisi mjini Mombasa wanalisaka genge la majambazi wanaodaiwa kuvamia gari la kaunti ya Mombasa na kutoweka na shilingi elfu 200 pesa taslim.

Kulingana na waliyoshughudia kisa hicho, majambazi watatu waliyokuwa wamejihami kwa bastola na kuabiri pikipiki walilivamia gari hilo lililokuwa limetoka kuchukua ushuru katika soko la Kongowea mjini Mombasa.

Dereva wa gari hilo Tolbert Ochieng alisema kwamba alipata majeruhi madogo kichwani kutokana na jaribio la kukwepa majambazi hao na akadungwa na vioo vya gari hilo baada ya gari hilo kufyetuliwa risasi na majamabazi hao.

Akithibitisha kisa hicho Afisa mkuu wa askari wa kaunti ya Mombasa Charles Karisa Changawa katika eneo la tukio hilo katika soko la Kongowea mjini Mombasa siku ya Ijumaa, alisema kwamba kwa ushirikiano na maafisa wa polisi, wanawasaka majambazi hao japo ameshtushwa na hatua ya kukosekana kwa maafisa wa polisi wanaolisindikiza gari hilo kila mara.

“Majamabazi waliyokuwa wamejihami kwa bastola walivamia gari letu lililokuwa limetoka kukusanya ushuru kutoka soko letu la kongomwea na kumjeruhi dereva wa gari hilo na kutoweka na pesa shilingi elfu 200m pesa taslim”,alisema Changamwa.

Hata hivyo uchunguzi umeanzisha kubaina chanzo cha kisa hicho huku genge hilo la majambazi likisakwa.

Nikiripotia kongowea sokoni, ni mimi wenu…
Good work @Meria Mata!

4 Likes

Google translation

Police officers in Mombasa pursuit of a gang of robbers who allegedly raided Mombasa County car and disappeared with 200 thousand shillings in cash.

According to the yoshughudia the case, they had three robbers armed with pistols and board a motorcycle invaded the car which had originated take a toll on the market Kongowea in Mombasa.

The car’s driver Tolbert Ochieng said that he received minor head injuries due to an attempt to evade the bandits and injected the mirrors of the car after the car shot and majamabazi kufyetuliwa them.

Confirming the incident Chief of soldiers Mombasa County Charles Karisa though he at the scene of the incident in market Kongowea in Mombasa on Friday, said that in cooperation with the police, they pursued the suspected bandits, although he was shocked by the action of the absence of officials lisindikiza police that the car each time.

“Majamabazi they had been armed with pistols stormed the truck, which had originated in collecting taxes from our market kongomwea and wounded the driver of the car and disappeared with the money thousand shillings 200m in cash,” said Changamwa.

However, the investigation has established the cause of the incident between gang of thugs

5 Likes

@mabenda4 kongowea is in Visa Vya Uhuni

1 Like

Ha ha ha!
Oswahili also went abroad by sheep!

5 Likes

That’s a total waste of an AK 47.
Ni kama mathug kupiga mtu ngeta wanapata ako tu na rwabe.

4 Likes

Kisauni imezidi. Nitahama sasa.

2 Likes

@Meria Mata…ama wacha tu

1 Like

Hawa mafala wa kanju wapigwe ngeta x100… always harassing civilians with some b.s charge.

my view is that that driver’s angels were by his side…

1 Like

hii haiwezi kuwa inside job…pesa kidogo sana not worth the risk, but then again hii ni mombasa

1 Like