Attempted conmanship

Hii ngalasumu ilikuwa inajaribu kunicon eti mtoi wangu amevunjika mguu and he needs urgent medical attention…please share widely[ATTACH=full]396836[/ATTACH]

Huyo ni conman @Sambamba ama mwizi @kanguthu.

They tried to pull the same thing on some dude and he told them wavunje hio mguu ingine ndio zitoshane…after that huwa ni matusi tu… @Starscream pia kidogo akuwe conned na @cortedivoire hapa kwa kijiji.

Na hawa watu hutoa wapi number zetu?

Malisa hio ngalasumu

Huyu omwami ali defame my good name. Meffi yeye

Labda kwa building flani ilibidi usign in your details

Random calls…ama kwa vitabu za mpesa agents.

Uhuh thanks for the heads up

Hao wasee huuza hizo lists ama niaje?

When buying school books, kids stuff, stop paying using Mpesa

Ni yule ana accent ya kikisii?.
Report yeye kwa DCI wam track within 24hrs.

I usually give one digit wrongo

@cortedivoire alijaribu kuibia @Starscream

How do i do that?

Good call …am taking notes

Sijajuwa kama ni yeye but hivyo ndio kuko…

Truecaller usually asks you to provide details of the caller, I usually describe the person “appropriately” to warn the next victims.

This has been a trend since 2016. Most high schools wanachukua biometrics za students to send results and other info to parents.

It’s highly likely classteacher work in cohort with the conmen cause wanajua the parents you can swindle eaisily

Jesu kristo!