I did my attachment in a government office. A coursemate who we were studying together a common unit alinilink na mtu huko nikapata hiyo chance. He was in a different department. Nikapewa mtu mwenye alikuwa anionyeshe the ropes. In the spirit ya kunionyesha the ropes and how things are done in the department, this motherfucker was very sneaky. He would delegate me his duties alafu yeye anakaa anawatch YouTube siku mzima. Nikimaliza nampelekea apitie pitie hapa na pale aone kama iko sawa. Na ni ile huezi kataa juu niliconnectiwa iyo attachment and then I was late by two weeks when other people had already started theirs. For 3 months, huyu msee alipata free salary na hata hakuwai nipea hata ndururu, hata kuninunulia chai hangeweza. It was a govt office lakini chai huko ilikuwa inauzwa bana haikuwa ya free. Huko pia nilijionea mambo. Kulikuwa na msee flani yeye alikuwanga anashow up 8am anaeka kidole kwa machine alafu anapotea alafu ana appear 5pm masaa ya kuenda home anaeka kidole kuonyesha ametoka and then goes home. Sijui kama alikuanga ghost worker or what. The good thing with that place is that ilikuanga imejaa printing papers mob sana alafu ni zile good quality. Nilikuanga nabebanga ream kadhaa alafu naenda nauzia watu wa cyber hapo Stage 26. I also printed my project using those papers. I even had a side hustle; I would photocopy and print stuff for people at a reasonable free at least nilikuwa napata za cabbage. Coursemates nao niliwaprintia projects kwa mpigo. And no one even asked where they went. Zikiisha ulikuwa unaendea zingine kwa store. Ubaya ni ati hao watu wa gava wap hutaka kukutumia vibaya na hawakusaidii na connections.
3 Likes
Ulidinyana?
3 Likes
What exactly is the point of your thread?
5 Likes
Same thing happened to me i was connected in a top government office by my father.
Huko niliambiwa nisikuwe na kiherehere nilikuwa naenda tu youtube tiktok na research ya project.
Kutumwa tumwa ujinga na hata za macho sipati saa ingine nilikuwa naenda lunch jioni narudi tu bag
2 Likes
Hii story yote na sioni mahali ulinjoti…bure kabisa
2 Likes
Wasted a minute for nothing
1 Like