Just under 45 mins to the Madrid Derby at the Sansiro. Watu waanze kutangaza msimamo mapema.
Is it Gonna be Zizou or Simeone
[ATTACH=full]41877[/ATTACH]
Leo niko Sofaset branch na Rum yangu by the side, let the games begin!!
Just under 45 mins to the Madrid Derby at the Sansiro. Watu waanze kutangaza msimamo mapema.
Is it Gonna be Zizou or Simeone
[ATTACH=full]41877[/ATTACH]
Leo niko Sofaset branch na Rum yangu by the side, let the games begin!!
Simeone tuko pamoja
Sambamba
cr7 Fanya mambo…
Line up ndio hio
[ATTACH=full]41878[/ATTACH][ATTACH=full]41879[/ATTACH]
Diego Simeone it is.
mnajua simeone ni coach right ?
mnafaa kua mnashangilia kijana Antoine Griezmann. kijana moto pasi
Tuko real na bet ya 2k kama mbaya mbaya…katambe
Diego and his men
Atletico Okota ndani!
1-0 Ramos, it has been long overdue.
still athletic Madrid despite going down 1 nil lakini i cheered real goal coz kuna vile I didn’t want to disappoint the beauties with me tonight.
Nasimama na Simeone…2nd half isije
Sim one hata kama naona hopes zikididimia
Simeone
Yannick Ferreira Carrasco
Yes…lets do these and i promise to make tonight a 3…some MFF
Zizou atatambua why ancelotti never substituted Toni kroos
Hizo sub za Zidane zilikua hasty sana, should have left Kross atoe Benzema, CR7 ako nje hii game. Extra time Atleti have an upper hand psychologically wacha tuone kama Griezmann atajiredeem
True Ronaldo hasn’t yet shown up to this game
Jan Oblak ameshikilia hyo post sioni goal ikiingia