Ati Nini?

How is carrying a laptop in the year 2022 a sign of hacking? Hivi ndio nongwe d minus huwa zinaua watu zinasema ni hackers juu wako na simu mbili na laptop.

[ATTACH=full]452947[/ATTACH]

All your Facebook posts huwa broken. Take a screenshot instead.