Ati mnasema ashaanza kulimwa mangumi

4 Likes

vertically challenged soprano man even you can tell anaogopa Ruto

Atapigwa maslap na akina illiterate fools Sudi na Faruk alafu aanze kulia

3 Likes

Ashapatia Nabii mkia tight

One thing i have to give to Jambasi is that he kinda has sense of humour. unlike Kibaki.

Who cares about humour ? Afadhali obako 1000 times

1 Like

Feel sorry for the prof

Kindiki achunge , hizi bromance na shetani huishia pabaya

Atafunikwa ubare na farouk aanze kupiga nduru na hiyo soprano yake.Kwanza juu ni mfupi and farouk ni giant.

3 Likes

Mmeru ? Faruk hawezi jaribu , huyu omwami anaeza katakata hao mafioso na panga mbaya sana , ogopa mmeru. Huyo faruk alituanga muthama Kofi akakam kulilia tala machooos

2 Likes