Athari za kuamini majina na sifa zake Allah kwa mja

[SIZE=6][B]Athari za kuamiNi majiNa Na sifa zake Allah Kwa mja[/B][/SIZE]
1-kuabudu Kwa majiNa Na sifa zake Allah, kWaNi mja akiyajua haya majiNa huyaamiNi Kama atakavyo Allah Mtukufu, Na kuyafahamu maaNa yake ambayo yaNamuongezea imaNi yake Kwa Allah Mola Wake, ndio Allah aNatukuzWa Na kuadhimiWa kWa moyo uliomfahamu kWahiyo, mwenye kumfahamu Allah zaidi humuogopa zaidi’

2-kuongezeka Kwa ImaNi: Kuyatambua majiNa ya Allah mazuri Na sifa zake za juu, kuNamfanya mja ahisi ukubWa Wa Allah Mtukufu, jambo ambalo liNamuongezea muumin imaNi juu ya imaNi, Na unyenyekevu juu ya unyenyekevu Kwa Allah Mtukufu. {Na Wale WaNaokubali kuongoka aNaWazidishia uongofu Na aNaWapa (jaza) ya ucha mungu Wao.} (Muhammad: 17)

3-kumkumbuka Allah Na kumtaja : Mwenye kumjua Allah, humpenda, Na mwenyekumpenda mola Wake basi hukithirisha kumkumbuka Na kumtaja, kWasababu ameumiliki moyo Wake kWa kumpenda, mpaka akaWa hapendi ila aNachokipenda yeye, Wala hachukii ila aNachochukia yeye.

[SIZE=7]Athari za Majina ya Allah katika ulimwenguni[/SIZE]

Kuyajua majiNa mazuri ya Allah Na sifa zake za juu, Ni elimu tukufu zaidi kuliko zengine, kila jiNa lake Allah liko Na sifa maalumu, majiNa yake Ni sifa nzuri pekee Na zilizo kamilika, Na kila jiNa liko Na muktadha (mazingira) yake Na vitendo vyake, Na kila kitendo kiNacho fanyWa Na kiumbe chake yeye ndiye muhusika Wa kweli, Na Ni muhali kuvua dhati yake Na majiNa yake, Na kuvua majiNa yake Na sifa zake Na maaNa yake ,Na kuvua sifa Na muktadha yake ya vitendo vyake, Na kuvua vitendo Na wenye kufanya Na athari zake, Na zote hizi Ni athari za vitendo vyake Na majiNa Na sifa zake.

Vitendo vyake Ni hekima Na maslahi matupu, Na majiNa yake Ni mazuri, kujaribu kuzivua Na kazi yake Ni muhali kWake Allah, kWa hiyo aNapinga mwenye kukataa amri zake Na makatazo yake, Na thaWabu zake Na adhabu zake, kWa hilo iNakuWa umemuelekezea Allah yasiyolingaNa Naye Na utakuWa umemuekelea yale aNayotakasWa Allah Nayo, Na hii Ni hukumu mbaya kumuhukumu Allah kWayo, Na mtu yeyote atakaye mNasibisha Allah Na hayo atakuWa hajamtukuza Allah uhakika Wa kumtukuza, Wala kumtakasa kikwelikweli, kama alivyo sema Allah kWa Wale wenye kukataa uNabii Na kutuma kWake Mitume Na kuteremsha vitabu: { Na haWakumkadiria Mwenyezi Mungu kWa haki ya kadri yake, Waliposema: Mwenyezi Mungu hakumteremshia mWaNaadamu chochote. } (Ala’am: 91)

https://www.with-allah.com/sw/athari-za-majina-ya-allah-katika-ulimwenguni

Kwani hujui kuandika kikamilifu?? Mbona unazitumia na kuziweka humo katikati herufi kubwa?
Si hii ndiyo ile elimu tuliyo ipata kwa darasa la tatu kwa shule ya msingi?
Utamchoma msomaji kwa kweli na ningekuomba uandike kwa uasili jinsi inavyo takikana.