kwa hiyo nyasi, hakuna @Eng’iti ?
hahaha zilikuwa…ungepata zimeshonde sana huko
Na siku hizi uko adventurous si juzi tu ndo umekua coast?
Congrats Mr. Templar. The highest I have gone is up Ngong Hills. And what I saw was good. I can only imagine what the vistas up the mountain were like. Envy kibao…
You should make a point of going there…its a great experience…na usipeleke mwanamke wa kulialia huko
Sides za narumoru. Unaenda hadi a point called MET STATION. There is one over there. The rest ni footing vinoma.
I once had a hike in class eight. The best hiking experience till to date. sijawai enda ngong hills .
Planning on going back soon. Went up to heath and mooreland kwenye kuna some colonial caves za mau mau.
kuna locals huwa wanajua msitu and act like guides, ukienda make sure utafute mmoja umlipe kitu thao. kuingia kwa msitu bila hao huwa suicide, tena wanajua some good places za kuwatembeza na hata the game rangers most times depend on them for directions
Thanks. They asked kama tunataka. Tukasema tutaenda kama maninja.
Lakini si wale walipotea Aberdares walikuwa na guide?
hio kuenda kama ninja never never try again .
msitu huwa sio predictable hata guide anaeza potea, ama wawe walipatana na wanyama
ama awe guide hakuwa experienced alirukia tuu kupata pesa.
ile time nimeingia huwa tunauliza ofisi ya kfs watulink na mtu wanajua ako poa
Inakaa uko na hekaya…I have been to many forests.
Unaingilia narumoro wapi?
I will go next weekend if it doesn’t rain.
Utafuata tu kibao ya mt kenya. You cannot miss it. Utatoka Nairobi?
Well put Sir, very well put.
Yap. But through Meru.
Looks like a good place ya kufikisha threshold :)![]()
:D:D:D:D:D
True…lakini huwezi mbao huko…true story
Hauntingly beautiful pics. Thanks for sharing
@Eng’iti ni nini? si nlidhani ni mtu hapa village.