Aston villa vs "Team Kubwa"

:D:D

Team ni njegaa

@Electronics4u

Hakuna team hapo hadi pale Martial & Mc Tominay watakapoingia.

Team kubwa=Team ya wamama

Ala they’ve scored. Shiet!! Wacha niendelee kukaza

Defense ya Aston villa inakaa kulala

Second half tunawararua

Ronaldo anangoja Messi aende MLS ndio yeye pia aende. hataki kutangilia. @Wanaruona binjwaaaaaaaaa

Niko hapa Harris Tavern enjoying Rhumba when the useless Man U is being flogged :D:D:D

Tunawatakia draw ama mlale

Say what? :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

:D:D:D Sasa Aston villa ni team ya kupiga manjesta

Lakini kuna venye Aston villa wanacheza kama team kubewa 'Aresenali ’

Unai emery ndio coaches. Manjesta Wanakaskia…

Heshimu sisi watu wa Aston. :D:D. Wa turedio @Electronics4u toka nje. Toka nje

Martinez is on fire. It’s 3-1. Itaisha 6-1

@Wanaruona tombwaaa kabisa zimefika 3

Team kubwa ni Newcastle, manjesta ni wamama, umbwaaa…

Shiet 4-1 :D:D:D:D

Wadau nmefika … timu kubwa iko jonjo. Bado 10 + 7 extra minutes, apa tuna sawazisha na kufunga ingine juu yake.

Mujamaa ushindwe kapsa