Assnol bado mko na hopes.

City
Chelsea
Newcastle, waiting 20230313_105745.jpg

Bado una hopes hatutachukua?

City na Newcastle ni tricky, maybe hapo kwa the late mzee Chelsea ndio watoke na kitu

Arsenal will beat Newcastle and draw at Etihad.
20230225_200230.jpg

Naona tukishinda Etihad

City hawatupigi. Jana tulitoka draw, kuchezea anfield imekuwa slaughter house for ages. Hatuogopi

Watu wa chelsea hamna bigger things to worry about??? Like relegation hivi

Tangu lini kipofu kaona?

Arsenal waspo chkua ii season watakaa kaa season ka kumi na kitu ivi tena ndio wakaribie top three, ka saii.

city wako na Arsenal, Chelsea, Brighton away, Brentford Away if you have any football IQ utajua maana ya hizo games .

If you can just believe…

1681123377391.png

Man u fans are in celebratory mood that arsenal drew yesterday na hawaoni who is at the top. We are six points or three points ahead of man city. Sio lazima man city watupige hata liverfools wamekuwa wakichapa arsenal at anfield na Jana karibu arsenali iwafanyie Ile kitu

Unashindwa ata wanafurahi nini. Okombe ni either iende na ‘noisy neighbours’ ama Arsenal. Either way SAF is having sleepless nights :smiley:

It would be poetic if Auba plays and scores against Arsenal

This is why some of us never rated Frauderta:meffi:
Jose Mou, or another big manager would have tightened the lid and contained the lead!
We lost because of skewed tactics:mad:

Assume City wako already level on points na Arsenal,since watachapa Arsenal Etihad na kushinda hiyo game in hand.Sasa if Arsenal draw or wapigwe any other game,City watawapita.Pia tunajua City wamezoea kufunga mabao mingi hizo team ndogo ,so goal difference pia inaweza amua.

Vifaranga za Wenger waanze kutunga Ile wimbo Yao ya next season.