They started so well but they have given away another game. Just like the previous one against Liverpool
@uwesmake unaitwa hapa kidogo:D:D
@Meria Mata ndo ameleta swara na hio thread yake …
Hii okombe imeenda hivyo banae.
Mkicheza vile mnacheza city will show you dust.
Uwes wa swara yuko?
True ! @Meria Mata priss rudisha nuks kwa Kijiji ya senyeate. Nkt !
Moyes tosha
Shually Mimi mtu wa Liverpool damu swara nimeleta kivipi.
:p:p Arsenal hoiyeee…
Assmio vibes…
[MEDIA=twitter]1647622423355834368[/MEDIA]
Arsenal tv :D:D
Hii imeenda, wametolewa nyama mdomoni
City watachapa,so ishaanza kuenda
This one is gone. We enjoyed quite a good time being on top. Let’s learn from our mistakes and try to clinch the cup next season
It’s not over till it’s over.
[MEDIA=twitter]1647658888118894593[/MEDIA]
Oh ye of little faith
Tunajua ishaenda,lakini Arsenal fans are delusional,so endeleeni kujidanganya.Hizi essays hazita affect anything