Asanteni sana Kenyan Brothers

Heshima kwenu wakuu, kwakweli nimepata nafuu baada ya kuona habari za uwepo wa JF huku, kufungwa kwa JF kulibadilisha hata life style za baadhi ya watu. Naomba tuliofika humu tuwasambazie habari hizi na wengine kupitia mitandao mingine ya kijamii. Thanks Kenyatalk!

:p:p:p:D:D:D:D

Hah hah hah

JF bhana! Haijawahi kumwacha mtu salama…

Inapendeza…

Cc: @Mahondaw

Mkuu huku tunaitwa villagers, hahaha. Wacha tujifunze ukimbizi

Hahahahaaaa… bora maisha yanasonga. Itabidi utafute kabisa kijiji…

kweli kabisa mkuu binafsi bila @Smart911 Sikuwa najua lolote… asante sana smart na uongozi

Mora awabariki sana hawa jamaa.

Na

Nataka nigombee uenyekiti wa kijiji kabisa. Hahahahaa.

Hata sijui nimefikaje huku.
Nimejaribu Fb,Instagram,Badoo nk lakini Mungu ni mwema nimeibukia huku tena

Hivi kwanini Mungu hamchukui mapema kichaa Magufool

Huku naonekanaje,Senior Expert Member au

Amen…

uku una itwa mwana kijiji aka villager

Safi sana

Ka

Karibu ughaibuni. Hofu yangu nikuwa wengi wanaweza wasiuone uchochoro uliotufikisha huku. Tukazane kuwaita.

Dah tumeanza upya,kwa hiyo wote wa Kijijini tu

Jamaa ana roho ya kikatili kaa sura yake.